Mashabiki wa timu ya Yanga toka Tunduma wakiwa eneo la njia panda Ilomba ili kuwaongezea nguvu mashabiki wa Yanga waliotoka Dar.
Mashabiki wa Yanga toka Dar wakiwa jijini Mbeya wakielekea katika uwanja wa Sokoine tayari kuishangilia timu yao.
Basi lililowabeba mashabiki wa timu ya Yanga toka Tunduma likielekea uwanja wa Sokoine
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamepagawa na kuishangilia timu yao
Mashabiki wa Yanga wakicheza ngoma eneo la Njia panda Ilomba
Shabiki namba moja wa Yanga toka Dar, akishangilia ushindi kabla ya mchezo.
Picha zote na Basahama blog.
No comments:
Post a Comment