Social Icons

Thursday, 19 September 2013

UKAGUZI WA MIRADI YA HALMAHAURI YA WILAYA YA RUNGWE WAINGIA SIKU YA TATU.

Ukaguzi wa barabara Stamico kwenda Ngumbati ambayo inajengwa kwa gharama ya Shilingi Milioni 78. Picha chini ni sehemu ya barabara hiyo inavyoendelea kutengenezwa.


Barabara ya Stamico - Ngumbati, Wajumbe wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika ukaguzi.




Picha zote ni ujenzi wa barabara ya Stamico- Ngumbati, barabara hii ni mpya kabisa, ni jitihada za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe katika kufungua mawasiliano kwa wananchi wake ili waweze kujiletea maendeleo. Barabara hii ina urefu wa Km 4.8

                                                    Picha zote na Bashiru Madodi
                                                            Basahama blogspot




No comments:

 
 
Blogger Templates