Social Icons

Wednesday, 1 January 2014

TUKUYU HILL VIEW HOTEL, HOTELI MPYA ILIYOPO MJINI TUKUYU.

Hotel ya Tukuyu Hill View, iko katika Kata ya Makandana nje kidogo ya Mji  wa Tukuyu, ni hoteli mpya na ya kisasa uwapo hotelini hapo utapata huduma zifuatazo, Vyumba vya kisasa vya kulala, Vinywaji vya aina mbalimbali na chakula cha kila aina
Makaribisho kwa wageni wakati wa sikukuu za Christmass na Mwaka mpya

Hii ndiyo Hotel ya Tukuyu Hill View, ikionekana toka upande mmoja wa majengo ya Hotel












Mkurugenzi wa Tukuyu Hill View Hotel Ndugu Angetile Mwakisyala (Hansi) kulia,  akiwa katika hotel

Mmoja wa wafanyakazi wa Tukuyu Hill View akiwa kazini hotelini hapo

Hii ni sehemu ya kujipatia kinywaji katika Hotel ya Tukuyu Hill View



Hii ni sehemu ya vyumba vya kulala katika Hotel ya Tukuyu Hill View

Mkurugenzi wa Tukuyu Hill View Hotel Angetile Amon Mwakisyala (mwenye fimbo) akiongea na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakasangula alipokwenda kumtembelea hotelini hapo

Katibu Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Mbeya ndugu, Bashiru Madodi (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Tukuyu Hill View Hotel, ambaye pia ni Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa wa Mbeya ndugu, Angetile Amon Mwakisyala.



SEHEMU YA KUPASHIA MAJINI YA MOTO

Hii ni sehemu ya kupata chakula kwa wateja watakaokwenda kupata huduma ya chakula

Ukiwa katika hotel ya Tukuyu Hill View unaweza kuona mandhari ya mji wa Tukuyu na maeneo mbalimbali ya wilaya ya Kyela likiwemo ziwa nyasa.

Picha na Ally Kingo blog

No comments:

 
 
Blogger Templates