Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya jana kilifanya kikao cha Halmashauri ya Mkoa huo, chini ni picha za matukio mbalimbali ya kikao hicho.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Maganga Sengelema, (katikati), akitoa ufafanuzi wa hoja zilizowasilishwa na wajumbe katika kikao
Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi, aliyesimama akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Mbeya.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya wakaiwa katika kikao
Makatibu wa jumuiya za chama Ndugu, Fadhiri Mlami (wazazi) na Ndugu, Yasin, (UVCCM) wakipitia hoja zilizokuwa zikijadiliwa.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya, kutoka kushoto, Ndugu, Mwakasole, Ndugu Bashiru Madodi, Ndugu, Mwaitenda na Ndugu, Sambwee Shitambala wakijadilia jambo kabla ya kikao
Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Ndugu, Maganga Sengelema, kushoto na Katibu Siasa na Uenezi Ndugu, Bashiru Madodi wakifuatilia kikao kwa umakini.
Picha na habari na
Basahama Blog
No comments:
Post a Comment