HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYA RUNGWE WAPATA MKURUGENZI MPYA SAID MDERU BAADA YA IMELDA ISHUZA KUSTAFU KWA MUJIBU WA SHERIA ZA TANZANIA
ALIYEKAA NDIO MUAGWA IMELDA ISHUZA AKIWA NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO ALIYEVAA SUTI NDIYE ALIYEKAIMU KABLA YA KUMPATA MKURUGENZI MPYA SAID MDERU |
IMELDA ISHUZA AKIPEWA NG"OMBE KAMA ZAWADI KUTOKA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
SAID MDERU WA PILI KULIA MWENYE SUTI NA MKEWE MWENYE NGUO NYEKUNDU AKIKARIBISWA RASM NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA |
WAKUU WA IDARA WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOTUBA YA KUMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE |
MADIWANI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA WAMESIMAMA KWA AJILI YA UTAMBULISHO KATIKA SHEREHE FUPI YA KUMUAGA MKURUGENZI IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI MGENI SAID MDERU |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA AKIONGEA KWENYE SHEREHE ALIYOIANDAA YA KUMUAGA IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI SAID MDERU KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
UKAFIKA MUDA WA BURUDANI |
KULIA IMELDA ISHUZA AKICHEZA KWA FURAHA HADI CHINI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
No comments:
Post a Comment