STARS YA MABORESHO YAHAMIA VIWANJA VYA LANDMARK HOTEL KUFANYIA MAZOEZI BAADA YA MVUA ZA MASIKA ZISIZOKATIKA KUANZA WILAYANI RUNGWE AMBAPO KAMBI INAFANYIKA
MAZOEZI YAMEHAMIA HUMU NDANI |
Mazoezi yakiendelea pamoja na kuwa na hali mbaya ya hewa Mjini Tukuyu
TAIFA STARS MABORESHO WAKIWA MAZOEZINI LANDMARK HOTEL BAADA YA MVUA KUBWA ZINAZONYESHA MJINI TUKUYU HIVYO KUFANYA KIWANJA WANACHOTUMIA KWA MAZOEZI KUJAA MAJI |
Hali ya hewa mjini Tukuyu ndiyo hiyo mtu akiwa mita mia mbele yako humuoni kutokana na ukungu uliotanda. |
No comments:
Post a Comment