Katibu mwenezi CCM Mkoa wa Mbeya alipokuwa anakiandaa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu, Abdulrahaman Kinana katika uwanja wa Luanda Nzovwe Jijini Mbeya
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi alipokuwa anaandaa mkutano wa sherehe za miaka 37 ya CCM jijini Mbeya
Katibu Mwenezi CCM Mkoa wa Mbeya akiongea na wananchi wa wilaya ya Mbarali katika uwanja wa Rujewa Shule ya Msingi, mjini Rujewa
Katibu Mwenezi CCM Ndugu, Bashiru Madodi alipokuwa akifuatilia mazoezi ya haraiki ya CCM kabla ya sherehe za miaka 37 ya CCM Jijini Mbeya
Katibu Mwenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akiwahutubia wananchi wa Songwe wilayani Chunya
No comments:
Post a Comment