Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu, Bashiru Madodi akipuliza vuvuzela kuashiria kuanza kwa sherehe za miaka 37 ya CCM mkoani Mbeya
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali ya habari wakiwa pamoja na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Mbeya
Makamanda wa CCM mkoa wa Mbeya kutoka kushoto, Ndugu, Solomon, Bashiru Madodi na Sambwee Shitambala wakisubili ujio wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu, Jakaya Mrisho Kikwete
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Prof. Mark Mwandosya akifurahia jambo na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu. Bashiru Madodi
Mtaa wa Soko Matola jijini Mbeya
Katibu wa NEC Siasa na Uenezi Ndugu Nape Moses Nnauye (kushoto) na Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi wakiwa katika matembezi ya mshikamani jijini Mbeya
Ndani ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya
Viongozi wakifuatilia kwa karibu mambo yanavyoendelea wakati shererhe zikiendelea katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya
Picha na habari na:
Bashiru Madodi
No comments:
Post a Comment