Social Icons

Wednesday, 2 April 2014

NDIZI: ZAO LINALOISUMBUA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE KATIKA UKUSANYAJI WA USHURU WAKE.


Shughuli ya usafirishaji wa mazao ya kilimo kutoka katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe ni kubwa sana na inafanyika kila siku. changamoto kubwa iliyopo ni ukusanyaji wa mapato yatokanayo na ushuru wa kusafirisha mazao hayo katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe.

Mpaka sasa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe umekuwa ukihaha kutafuta njia za uzibaji wa mianya ya upotevu wa ushuru huo bila ya mafanikio.

Magari yakipakia mazao mbalimbali katika soko la Tandale mjini Tukuyu

Akina mama wakipeleka ndizi katika soko la Lugombo kata ya Lufingo


Magari yakiwa tayari kupakia ndizi katika soko la Lugombo

Magari yakiwa katika foleni ya upakiaji ndizi katika soko la Lugombo

Mwandishi wa habari hii Ndugu Bashiru Madodi akiwa na msafirishaji maarufu wa ndizi Mzee Baba lea watoto, katika soko la Lugombo.


Picha zote na 
Bashiru Madodi

No comments:

 
 
Blogger Templates