Social Icons

Monday, 5 May 2014

CCM YAJIBU MASHAMBULIZI YA UKAWA KIBANDA MAITI ZANZIBAR

Umati wa WanaZanzibar ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar,kufatilia Mkutano wa hadhara wa CCM. 
Wazee wakifatilia Mkutano wa hadhara wa CCM leo.


Meza Kuu ya Viongozi wakifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa Mkutanoni hapo.

Wananchi wa Unguja wafatilia Mkutano kwa Umakini Mkugwa.
Mh. Ummy Mwalimu akiwauliza Wananchi wa Unguja wanataka Serikali ngapi??

No comments:

 
 
Blogger Templates