Tanki la maji la litakalopeleka maji katika vijiji vya Itete kata ya Lufingo na Kata ya Kapugi
Mkandarasi wa mradi wa maji akitoa maelezo ya ujenzi wa mradi wa maji kwa wajumbe wa kamati ya Fedha Utawala na Mipango.
Nyumba Two in One za waalimu wa Shule ya Sekondari Kapugi zinazojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe
Wajumbe wa kamati ya ujenzi wa nyumba za waalimu wa shule ya Sekondari Kapugi
Wajumbe wa kamati ya Fedha Utawala na Mipango wakipita juu ya daraja la Sasa wakati wa ukaguzi wa daraja hilo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Veronica Kessy akiwa pamoja na wataalam wa Hamashauri yake wakati wa ukaguzi wa daraja la Sasa lililopo katika Kata ya Lufingo
Wajumbe wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango wakikagua daraja la Malindo katika kata ya Malindo
Wajumbe wa kamati ya Fedha Utawala na Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakielekea kwenye ukaguzi wa daraja la Kara katika kata ya Mpuguso.
Daraja la Kara ukiwa katika hatua za awali
Wajumbe wakikagua ujenzi wa daraja la Kara katika kata ya Mpuguso
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Veronica Kessy akiwa na Diwani wa Kata ya Bagamoyo Ndugu, Bashiru Madodi
Wajumbe wa kamati ya fedha wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika mojawapo wa shughuli za ukaguzi wa miradi ya Halmashauri hiyo
Picha na habari na Bashiru Madodi
Basahama.blogspot.com
No comments:
Post a Comment