Social Icons

Thursday 19 June 2014

MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YAENDELEA KUKAGULIWA


Wajumbe wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango wa Halamashauri ya Wilaya ya Rungwe wakikagua tenki la maji katika kata ya Kyimo
Jengo la hostel ya wasichana katika shule ya sekondari ya Lupoto, linaendelea kujengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe


Wajumbe wa Kamati ya fedha wakiwa pamoja mbele ya jengo la Shule inayojengwa kwa nguvu za wananchi katika kata ya Ikuti

Jengo la Shule ya msingi linalojengwa kwa nguvu za wananchi katika kata ya Ikuti

Mandhari ya Kata ya Ikuti

Shule ya Msingi Ikuti.


Vyoo vya Shule ya Msingi Ikuti

Nyumba ya mwalimu Two in one inayojengwa katika Shule ya Sekondari Bujinga Iliyoko katika kata ya Bagamoyo

Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Bujinga akisoma taarifa ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu kwa wajumbe wa kamati ya fedha.

Shule ya Msingi Nuru English Medium iliyoko katika kata ya Bagamoyo

Nyumba za waalimu wa Shule ya Nuru English Medium.


Picha na habari na Bashiru Madodi
Basahama Blogspot

No comments:

 
 
Blogger Templates