Diwani wa Kata ya Bagamoyo Ndugu Bashiru Madodi (wa kwanza kulia) akiwa na wakazi wa mtaa wa Kanisa wakizibua mifereji ya barabara za mtaa wao.
Wakazi wa Mtaa wa Kanisa katika kata ya Bagamoyo wakifanya kazi za maendeleo ya mtaa wao
Kazi ya kuzibua mifereji ikiendelea katika mtaa wa Kanisa
Diwani akiendelea kushirikiana na wananchi wake
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Sawaki akiangalia barabara ya mtaa wa Batini inayokarabatiwa na wananchi wa mtaa huo, katika kata ya Bagamoyo.
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Sawaki (wa kwanza kushoto) akiwa na wananchi wa mtaa wa Batini.
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe akiangalia gari inayoundwa upya katika mojawapo ya gereji zilizoko katika kata ya Bagamoyo
Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Ndugu Sawaki akiwaangalia wakazi wa mtaa wa Kanisa wakifanya kazi za maendeleo kwa kusafisha mfereji wa barabara yao.
Barabara ya Mbeya - Kyela inayopita katikati ya Kata ya Bagamoyo mjini Tukuyu.
Sehemu ya mtaa wa Bagamoyo
Picha na habari na Bashiru Madodi
Basahama Blogspot
No comments:
Post a Comment