Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoawa Arusha. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mnadhimu Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Luteni Jenerali Charles LawrencMkakala
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Raphael MugoyMuhuga
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Joseph FurahKapwani.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile Kabunda
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Othuman Mohamed Mpemba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
No comments:
Post a Comment