Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ileje.
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mama Senyamule akikiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ileje
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Philip Mangula akiwahutubia wajumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ileje
Wajumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ileje wakiwa kwenye kikao
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mama Senyamule akisoma taarifa ya utekelezaji wa ilani kwa wajumbe wa Halamashauri Kuu ya Wilaya ya Ileje.
Picha na habari na
Bashiru Madodi
No comments:
Post a Comment