Social Icons

Wednesday, 24 September 2014

Ziara ya Ndugu Philip Mangula Wilayani Kyela

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Philip Mangula akikaribishwa Wilayani Kyela


 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kyela




Pichani kutoka kushoto, Makamu Mwenyekiti CCM Taifa, Mwenyekiti CCM Wilaya ya Kyela, Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Mkuu wa Wilaya ya Kyela na Katibu Siasa na Uenezi Mkoa wa mbeya Ndugu, Bashiru Madodi

Picha na habari na
Bashiru Madodi

No comments:

 
 
Blogger Templates