Add caption |
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akimpa pole Dkt Mwakyembe mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songwe leo jioni. |
MC Mashuhuri Charles Mwakipesile akiteta jambo na Dkt Mwakyembe mara baada ya kuwasili Uwanja wa Songwe leo jioni |
Gari iliyobeba mwili wa marehemu Linah George Mwakyembe likitoka katika lango kuu la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe baada ya kuwasili leo jioni. |
Gari la Polisi likiongoza msafara uliobeba mwili wa marehemu Linah Mwakyembe kulekea wilayani Kyela kwa ajili ya mazishi kesho mchana |
Msafara kuelekea Kyela kwa ajili ya mazishi ya mke wa Dkt Harrison Mwakyembe leo jioni |
No comments:
Post a Comment