Social Icons

Thursday, 10 July 2014

HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE WAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WILAYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Veronica Kessy akifafanua jambo katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.

Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe wakiwa katika kikao cha baraza la Halmashauri yao

Diwani wa Kata ya Bagamoyo Mhe. Bashiru Madodi akifuatilia kwa makini mjadala wa kikao cha baraza

Mwenyekiti wa Halamashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Alfred Mwakipiki Mwakasangula akifurahia jambo na katibu wa kikao cha baraza Bi, Veronica Kessy

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Crispin Meela (wa kwanza kulia) akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani

Mbunge wa Jimbo la Rungwe Magharibi Mhe. Mwakyusa (wa kwanza kulia) akiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Hilda Ngoye katika kikao cha baraza



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi, Veronica Kessy akisoma matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za kudumu za Halmashauri yake.

No comments:

 
 
Blogger Templates