Social Icons

Wednesday, 10 September 2014

HADITHI: Missed call ya shemeji -8


Ili kumkomoa mdogo wake, shemeji huyo alisimama katikati ya chumba na kuvua nguo zake zote kisha akawa kama alivyozaliwa mbele ya shemeji yake akajitingishatingisha, akapanda kitandani na kumvuta shemeji yake, Beka ili naye apande.
SONGA NAYO…

Tena leo utainjoi sana kuliko kule chumbani, kila hatua nitakuwa nahakikisha inakuwa kisasi kwa mkeo, malaya mkubwa yule, anataka kucheza na mimi mtoto wa mjini siyo?” dada wa Aisha alimwambia shemejiye.

Baada ya shemejiye kutoa maneno hayo, Beka alicheka na kumwambia aachane naye, wageukie kilichowaleta pale kwani kitendo cha kuvua nguo na kuliacha wazi umbo lake zuri kilimpagawisha sana!
“Najua ni jinsi gani unalihitaji joto shemeji yangu wa ukweli lakini mkeo kanikosea sana kuniambia nimeachika kwa mume wangu sababu ya michepuko, sasa nitamkomesha, yeye ataondoka nami nitakalia nyumba yake,” dada huyo alimwambia Beka.

Hakuishia hapo, alinyanyuka pale kitandani na kusimama sakafuni, alijishebedua kwa kuyaangalia makalio yake mapana, akayatingisha na kutembea hatua kadhaa za kimisi na kumgeukia shemeji yake na kumuuliza kama alikuwa analipa!

“Kwa kweli shemeji upo matawi ya juu, namshangaa mwenzangu kuamua kukuacha mtoto mzuri kama wewe…ngoja tunaojua vitamu tujilie vyetu,” Beka ambaye kila alipomtupia macho shemejiye alimeza funda la mate,  alimwambia dada huyo wa mkewe.
“Hilo neno shemeji yangu…kwa kuwa leo umeamua kunileta hapa utafurahi na roho yako na utajilaumu kumuoa yule mjinga asiyejua maana ya mahaba!” dada mtu alimwambia shemejiye Beka.

Kwa kuwa Beka alikuwa ameketi juu ya ukingo wa kitanda, shemejiye huyo aliyepania kumfanyia mambo makubwa ya mahaba, alimfuata na kumkalia mapajani kwa staili ya kumwangalia usoni.
“Shemeji!” dada huyo alimwita Beka.
“Niambie mke wangu!” Beka alijibu.

“Nakupenda na nitaendelea kukupenda!” alimwambia shemeji yake huku akimtazama kwa macho yake makubwa yaliyolegea.
“Nami nakupenda shemeji yangu wa gharama!” Beka ambaye damu zilianza kumwenda mbio alimwambia shemejiye huyo aliyekuwa ameingiza mikono kifuani mwake na kuvichezea vinyweleo vyake.

Dada wa mkewe alipoona shemejiye ameanza kuchachawa, alisimama na kumwinua kisha akamvua shati, singlendi, suruali, boksa na kumalizia nguo ya mwisho kabisa.
Wawili hao wakiwa katika hali hiyo, walikumbatiana, wakagusana na kufinyana, kutekenyana kutumia midomo yao kufurahishana hadi wakaishiwa pumzi.

“Shemeji!” Beka alimwita shemejiye kwa sauti ya kukata.
“Niambie baba!” shemejiye alimjibu kwa sauti nyororo.
“Mama nimefikia hatua mbaya, nahitaji burudani ya mwisho!” Beka alimwambia.
Alipotoa kauli hiyo, shemeji yake alimvutia katika uwanja wa fundi seremala wakaanguka pamoja puuh! Shemejiye akawa chini na Beka akafuatia juu.

Kwa jinsi kila mmoja alivyokuwa akinyevuliwa na wadudu wasumbufu wa mapenzi, walijikuta wamekutanisha vinywa vyao wakaanza kudendeka.

Wawili hao waliokuwa kwenye mchepuko, wakiwa wanaendelea kufanya uchafu wao, Aisha mke wa Beka ambaye bado alikuwa ameketi nje kufuatia kutoiona funguo, alivimba kwa hasira na kusema:
“Hivi dada anadiriki kwenda kwenye michepuko yake na funguo? Tabia yake hiyo ndiyo imesababisha aachwe na mumewe nami siwezi kuvumilia upuuzi wake lazima nitamuondoa hapa nyumbani!”

Wakati Beka akijiandaa kuchomeka sime ndani ya ala, simu ya shemeji yake ikaanza kuita, licha ya kumwambia apokee, dada huyo wa mkewe alipuuza na kumwambia aachane nayo waendelee na mambo yao.

Kutokana na kelele za simu hiyo ya Kichina, Beka alinyoosha mkono na kuichukua juu ya meza ambayo ilikuwa pembeni ya kitanda na kuiangalia, akaona jina la mkewe.

“Mdogo wako huyo anakupigia, hebu zungumza naye,” Beka alimwambia shemejiye.
Licha ya kumweleza hivyo, shemejiye huyo alimwambia aachane naye mpuuzi huyo na kuongeza kuwa akipokea atawaharibia starehe yao, akaitupia walikoelekeza miguu yao wakaendelea na yao.
Mke wa Beka aliendelea kupiga simu lakini haikupokelewa, kitendo cha dada yake kutopokea simu kilimfanya aamini alikuwa gesti kwenye michepuko.

“Sikatai kufanya mambo yake kwa sababu yule ni mtu mzima ana hisia, tatizo kwa nini aondoke na funguo? Hivi mume wangu akifika nitamweleza nini?” Aisha ambaye hakujua kama dada yake na mumewe walikuwa wakifinyana na kupeana raha gesti alijisemea peke yake.

“Baby!” dada wa Aisha ambaye tayari alipasua madafu mawili kwa staili ya kuunganisha alimwita Beka.
“Nipo mama unasemaje?” Beka alimwambia.

“Kumbe mambo unayaweza sema pale nyumbani nafasi ilitubana kujiachia,” shemeji mtu alimwambia.
“Nawe unayaweza mama, najuta kumfahamu mdogo wako kabla yako, wewe ndiyo ulipaswa uwe mke wangu, unipikie, unifulie, uniogeshe na unifanyie mambo mazuri kama haya kila ninapohitaji,” Beka alimwambia shemeji, wakacheka.

“Mimi naona  hujaamua tu kufanya hivyo…hata leo ukitaka kumuacha yule chakubimbi wako unaweza…tena ukimuacha nitafurahi sana,” shemeji yake alimwambia Beka.


Inaendelea


Chanzo Globalpublishers

No comments:

 
 
Blogger Templates