Social Icons

Wednesday, 24 September 2014

Mangula afanya ziara wilayani Mbarali

Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara Ndugu Philip Mangula akiwahutubia wajumbe wa Hlmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Mbarali

      Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Alhaji Mwangi Rajabu Kundya akitoa ufafanuzi katika kikao hicho

 Wajumbe wa Halamashauri kuu ya CCM  Wilaya ya Mbarali


 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani




Katibu wa CCM Wilaya ya Mbarali  Ndugu Luambano akisoma taarifa ya chama kwa Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Ndugu Philip Mangula

Picha na habari na 
Bashiru Madodi

No comments:

 
 
Blogger Templates